Jarida la UQAB Toleo 44 - Septemba 2020
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Septemba 2020 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Septemba 2020 M.
Hizb ut-Tahrir katika Wilayah ya Jordan anamuomboleza mbebaji da'wah, Hajj Zaidan Abdel Fattah Masoudi (Abu Tayseer Masoudi), ambaye alikwenda katika rehema ya Mwenyezi Mungu (swt) akiwa na umri wa miaka 84 ambao aliutumia katika kumtii Mwenyezi Mungu na kubeba ulinganizi wa kurudisha tena maisha ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Oktoba 2020 M.
Vichwa Vikuu vya Toleo 334
Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya inafuraha kupongeza Waislamu humu nchini na kote duniani kwa ujumla kwa kufikiwa na Mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Baada ya kufanikiwa kwa Rais wa zamani wa Amerika Donald Trump katika kuunda Mahakama ya Upeo ya Amerika inayounga mkono Republican ambayo inaweza kuhimili kwa miongo kadhaa,
Tumesoma katika gazeti lenu, Toleo la (271), la Jumatatu 23 Shaban 1442 H, sawia na 05 Aprili 2021 M, makala ya mwandishi Ezz El-Din Saghiroun chini ya anwani: "Kwa mantiki ya Kiislamu:
Al-Waqiyah TV: Silsila ya Ramadhan "Neno Zuri"
Mnamo siku ya Ijumaa, 02/04/2021, sheria ilichinjwa tena kwa kesi ambayo ilianzishwa kwa sababu ya Kongamano la Khilafah nchini Uturuki mnamo 2017 lakini haikufanyika kwa sababu ya kuzuiwa na utawala.