Enyi Waislamu, Kuvunjwa kwa Khilafah, Ngao Yetu, ni Ukumbusho Mchungu wa Haja ya Haraka ya Kuisimamisha tena
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kuvunjwa Khilafah yetu yenye kuunganisha, wakoloni wa Magharibi hawakuacha katika karne zao za uadui wa kikruseda. Waliunda dola kutoka ndani ya dola, kiasi kwamba tunahisi uchungu kamili wa sera ya kugawanya et impera (gawanya utawale) ya Wamagharibi.