Chini ya Mfumo Uliofeli wa Kirasilimali, Wakristo Wanakuwa Mawindo Rahisi ya Wahalifu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Polisi wa Kenya walimkamata mwinjilisti wa televisheni wa Kenya mwishoni mwa Aprili, 2023 na kufikishwa mahakamani Ijumaa tarehe 28 Aprili 2023 baada ya ripoti za "mauaji ya halaiki ya wafuasi wake," Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki alisema, huku mamlaka zikichunguza vifo vyengine vingi vinavyohusishwa na ibada za kundi la kidini kutoka eneo hilo hilo.