Vifo, Uharibifu na Umaskini ni Urithi wa Kuamini Ahadi za Magharibi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
"Bado hatuna habari zote juu ya kile kilichotokea, lakini inaonekana kama hili ni janga baya zaidi kuwahi kuliona katika Bahari ya Mediterania," alisema Kamishna wa Mambo ya Ndani wa EU mnamo tarehe 16 Juni baada ya mashua iliyobeba wahamiaji kutoka Libya hadi Italy kupinduka katika pwani ya Ugiriki.