Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 278
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 278
Vichwa Vikuu vya Toleo 278
Jumatatu, 28 Rajab 1441 H - 23 Machi 2020 M
Hizb ut Tahrir / Dagestan ili toa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu.
Virusi vya korona (Covid-19) vimeenea ulimwenguni mashariki na magharibi, vimesimamisha mambo ya kimaisha ya kila siku, na watu wenyewe wametii kujifungia ndani majumbani mwao kwa hofu ya maambukizi
Msimamo wa watu wa Al-Muharrar katika Kura ya Maoni kuhusu Mkataba wa Amani baina ya Erdogan na Putin Kusitisha Vita baada ya utawala wa Syria kuchukua barabara kuu ya M5 za [barabara kuu ya Damascus-Aleppo].
Janga linalozidi kukuwa la virusi vya korona linatishia zaidi uchumi wa Amerika kuliko zama nyingine zozote tangu hatua za mwanzo za Muanguko Mkubwa miaka 90 iliyopita.
Amerika inakabiliwa na janga na imeipiku Ujerumani na Ufaransa ndani ya siku mbili zilizopita kwa kesi za Covid-19, na licha ya Italia kuwa na idadi maradufu ya kesi kama Amerika, mjumuiko wa idadi ya kesi inazidi mara mbili ndani ya kila siku 4 nchini Italia, ilhali inazidi mara mbili ndani ya kila siku nchini Amerika.
Mnamo 10/03/2020, mahakama nchini Tanzania iliwapata na hatia na kuamua kwamba baadhi ya viongozi wakuu wa upinzani wa Chadema walipe faini au watumikie kifungo gerezani kwa mashtaka yanayohusiana na maandamano yaliyopigwa marufuku, uhaini na mashtaka mengine.
Hizb ut Tahrir /Wilayah Syria iliandaa maandamano katika jiji la Armanaz ndani ya Idlib ya kwa kichwa, “Kusitisha vita ni aibu na kufungua barabara kuu ni kujiua!”
Kwa muda mrefu, Amerika imepuuza kutambua kujitolea na matendo ya kusifika ya Mujahideen wa zamani na kuyakanyaga. Badala yake daima humuweka mtu aliyejitolea zaidi, kidemokrasi na kisekula katika madaraka ambaye kihisia na kiakili hausiani na watu wa Afghanistan kamwe.