Watawala wa Pakistan Wanaleta Masimulizi Dhaifu ya Kukwepa Vita Kama Chaguo la Kuikomboa Kashmir
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maadhimisho ya mwaka wa kwanza ya India kubatilisha Kifungu cha 370 na 35A na kuongeza ukandamizaji wa Waislamu wa Kashmir yamepita kwa maneno matupu ya kawaida ya uongozi wa kiraia na kijeshi.