Silsila za Al-Waqiyah TV: Tafakari
Jumamosi, 1 Ramadan 1446 - 01 Machi 2025
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan mwaka huu, 1446 H (2025 M), silsila mpya ya vipindi vya Al-Waqiyah TV vyenye kichwa “Tafakafi,” vilivyotayarishwa na kuwasilishwa na Mhandisi Baher Saleh, Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
“Al-Wala wa-l-Bara” ni Hukmu Madhubuti ya Kiislamu na Kanuni Imara…
Adam Boehler, mwakilishi wa Kizayuni wa Trump katika masuala ya wafungwa, na Zalmay Khalilzad, mjumbe…
Marekani Yatoa Tahadhari kuhusu Alfajiri ya Khilafah Rashida kwa Njia…
Kila wakati Umma unapopiga hatua kuelekea ukombozi kutoka kwenye nira ya ukoloni unaolemea sana kifua…
Marekani Yaanzisha Mashambulizi ya Kikatili kwa Yemen Huku Majeshi Yetu…
Kwa siku nyingi sasa, Amerika imekuwa ikianzisha mashambulizi ya kikatili kwa watu wetu nchini Yemen,…
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi, Jeshi la Pakistan!…
Enyi, Jeshi la Pakistan! Mzamisheni Trump Firauni wa Marekani katika Bahari ya Gaza kwa Kusimamisha…
Wakati wa Ziara yake nchini India, Tulsi Gabbard katika Taarifa…
Ingawa maoni ya chuki yaliyotolewa na Mkuu wa Ujasusi wa Kitaifa wa Kruseda Amerika, Tulsi…