UNAMA ni Chombo cha Kisiasa na Wakala wa Ujasusi wa Dola za Magharibi; Kazi yake nchini Afghanistan Lazima Ikomeshwe Mara Moja!
- Imepeperushwa katika Afghanistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja liliidhinisha azimio la kuongeza muda wa Misheni ya Usaidizi ya Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) kwa mwaka mwingine.



