Jumanne, 14 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ni Nani Atakayekomesha Mauaji ya Waislamu na Ubomoaji wa Misikiti Nchini Ethiopia

Mnamo tarehe 2 Juni, kufuatia swala za Ijumaa, Waislamu 3 waliuawa na vikosi vya usalama vya Ethiopia nje ya Msikiti Mkuu, Msikiti wa Anwar jijini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia wakati wa maandamano ya amani ya kupinga uvunjaji wa mamlaka wa misikiti kadhaa nje ya mji na mipango kuvunja mengine zaidi.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 14/06/2023

Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif alitangaza mnamo Juni 11 kwamba shehena ya kwanza ya mafuta ghafi ya Urusi iliyopunguzwa bei ilikuwa imewasili Karachi. Huku bei kamili ambayo Pakistan ililipa kwa mafuta hayo ikiwa bado haijafahamika, shirika la habari la Reuters liliripoti kuwa Pakistan ililipia usafirishaji kwa kutumia Yuan ya China.

Soma zaidi...

Khilafah Pekee ndiyo Inayoweza Kutatua Mgogoro Unaoendelea wa Uhaba wa Fedha katika Uchumi wa Pakistan

Serikali za Pakistan mtawalia zimekabiliwa na changamoto ya upungufu wa fedha. Inamaanisha kuwa serikali ina uhaba wa rasilimali za kutumia kwa ajili ya watu. Uhaba huu wa rasilimali unaoikabili serikali ni matokeo ya moja kwa moja ya miundo ya utawala wa kiuchumi inayotekelezwa nchini. Kipote cha watawala wa Pakistan kinatabikisha mtindo wa uchumi wa kirasilimali nchini.

Soma zaidi...

Kusisitiza Sheria ya Hifadhi ya Jamii ni Kupambana na Watu katika Maisha yao, Kupora Riziki za Watoto wao na Kushambulia Ukakamavuna Azma yao

Ni kwa kuna nini msisitizo huu wa Mamlaka ya Palestina (PA) wa kuhuisha Sheria ya Hifadhi ya Jamii? Je, ni kwa sababu ya wasiwasi wake kwa watu wa Palestina? Au ili kulinda ukakamavu wao na kuwatia nguvu katika Ardhi Iliyobarikiwa? Je, ni nani mnufaika halisi wa sheria hii? Je, ni wafanyikazi, waajiriwa, na waajiri, au ni wale walio madarakani?

Soma zaidi...

Bajeti ya Kibepari ni Njia ya Uporaji wa Kinidhamu wa Pesa za Umma Kufadhili Uporaji na Ufujaji wa Kupangiliwa

Mnamo Juni 1, 2023, serikali ya Hasina ilizindua bajeti ya kitaifa inayoitwa "Kuelekea Bangladesh ya kijanja inayofuata maendeleo" kwa mwaka wa fedha wa 2023-24. Waziri wa Fedha AHM Mustafa Kamal aliweka bajeti ya Taka trilioni 7.6 ambayo ni asilimia 13.5 kubwa kuliko FY 23 yenye mwelekeo 'unaotarajiwa' wa kukabiliana na mfumko wa bei

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu