Serikali ya Denmark Yatekeleza Ubabe wa Kimaoni na Kukitishia Chuo Kikuu cha Copenhagen!
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Machi 25, 2022, mhadhiri, mdahili, na mwanachama wa Hizb ut Tahrir, Taimullah Abu Laban, alialikwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu (MSA) Bewa la City kutoa mhadhara katika Kitivo cha Sayansi za Jamii cha Chuo Kikuu cha Copenhagen (KU).