Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 301
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 301
Vichwa Vikuu vya Toleo 301
Serikali ya Kyrgyz kwa Kutapatapa Inajaribu Kulinda Maadili ya Kisekula Kupitia Kuwapiga Vita wale wote Wanaoeneza Fikra za Kiislamu
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilianzisha kampeni pana ya kufichua uhalifu wa marekebisho katika bajeti ya mwaka 2020 na hilo ni kupitia amali za umma kadha wa kadha zilizofanywa iliyopita;
Janga la maambukizi ya virusi vya Korona linaendelea kuchua maisha ya watu wengi ulimwenguni pia limepelekea kusitishwa kwa amali nyingi za kiuchumi; na kuharibu njia za watu za kujikimu kimaisha.
Katika mahojiano ya runinga, yaliyopeperushwa mnamo 18 Agosti 2020, Imran Khan alikataa kulitambua umbile la kihalifu la Kiyahudi, lakini kwa uangalifu akaweka kukataa kwake sharti la kukombolewa Palestina.
Kila mwaka katika siku hii, Tarehe Moja Muharram al-Haraam, Waislamu hukumbuka kumbukumbu inayonukia kutoka katika historia ya hadhara yao tukufu; kumbukumbu ya kuzaliwa Ummah bora ulioletwa kwa watu, kupitia kusimamishwa Dola ya Haki duniani,
Ningependa kuuliza kuhusu tabarruj. Tunaifafanua vipi na tunaitumia vipi? Ninavyojua ni kuwa tabarruj yamaanisha kuonyesha mapambo mbele ya mwanamume wa kando kisha kumvutia kutazama hayo mapambo au hata kututazama sisi.
Katika miaka ya karibuni, Wamagharibi kupitia taasisi za kimataifa zisizo za kibiashara na vyombo vya habari vya mrengo wa Kimagharibi, wameanza kivitendo kutekeleza fikra ya usawa wa kijinsia katika nchi za Asia ya Kati.
Ushuhuda wa Mhandisi Arsalan kuhusu Naveed Butt
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua Kampeni: "KOMESHA Vitisho kwa Wanawake WachaMungu wa Kiislamu wa Kyrgyzstan!"